Kilo ya Sembe Tshs.1600/=

Utakua unakaa ushuani ww,huku kwetu maandazi sh mia na sio 500 ,mchana ugali na matembele nyama cjui samaki anasa ,ucku wali maharaga hata 10000 haiishi na Haya ndo maisha yetu Tulio wengi
 
Enzi za mwalimu tulikua tuna piga ugali wa muhogo safi sana,na ilikua ni lazima ulime walau heka moja ya zao hilo tena ni amri Kali,sasa mkuu we una mashina mangapi kwa sasa hapo kwako walau ya kitafunwa?
 
sembe mnapika ugali wa watu zaidi ya watano kwa kilo moja. sasa kama ni alfu mia sita, kwani bia mnanunua bei gani moja, mbona mnanunua bia zaidi ya buku mbili, mnazungusha meza yote na keep chenji ya baa medi juu. vumilieni hadi 2020.

Mburula unadhani 2020 ndio itabadilisha bei ya sembe, unadhani Magufuli ndio kapandisha bei? Tatizo ni ukosefu wa mvua na hali ya hewa mbaya, stupid bongo lala. Duh!
 
Fanyeni kazi acha maneno. Unga ukipanda nunueni mikando midogo. Funga mkanda. Msikimbie miji, kaeni hatutaki walami huku kwetu bara
 
Utakua unakaa ushuani ww,huku kwetu maandazi sh mia na sio 500 ,mchana ugali na matembele nyama cjui samaki anasa ,ucku wali maharaga hata 10000 haiishi na Haya ndo maisha yetu Tulio wengi
Wewe seriously mbona nipo uswazi mdau unaweza tembea unaongea mwenyewe bila kujijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…