Najiuliza maswali mengi juu ya hawa jamaa.
Wakimtembelea mama ntilie ameula siku hiyo.
Wakiwa wageni nyumbani kwako umeumia.
Ole wakouwe ni house girl wao utakoma kupika.
Dereva wa bodaboda hapatimshikaki hapo
Yaani maswali mengi mdau yanakuja ju yao.
the qn is what do they do for a living?
kweli kabisa,mlo wa mchana ukipita kiasi ndio hivyo ila wa usiku tizi kwa sanaYaani hao ni ngurue??!
.haha hao wajua mlo tu.
Hao wako vizuri. Mandingo hawapati hao hahahaha.Hi wanaweza kupiga game hawa....
Vyoo vya pipa au matairi?hawa kwa vyoo vyetu vya uswahilini..siku mbili tu vimejaa
"Kitambi ni mchanganyiko wa mavi na mafuta" source sikumbuki.