Killings in custody

Nawish iendelee
majanga kama hayahaya yashawahi kumkuta ndugu yangu mpaka leo hatujui kisa ilikua ni nini!! (Umaskini+kutokua na connections=tukakosa haki) tulipata kaburi tuu baada yakuutafta mwili muda wawikinzima na mazingira yote yalionesha ni askari ndo walifanya lile tukio na kuzika kwa kigezo mwili hauna taarifa zozote
wakati hawakutangaza popote nasisi tulifatilia kilapahala all in all mungu ndo anajua.
 
Pole sana mkuu. Kuna watu wanafaa walogwe wakojoe usaha na damu mpaka wanakufa. Yaani wana roho mbaya mpaka unashangaa huyu ni binadamu wa aina gani hususani hawa askari wetu, kwani wakiwa huko vyuo vya mafunzo wanafunzwa roho mbaya na uuaji au??!
 
tulipata kaburi tuu baada yakuutafta mwili muda wawikinzima na mazingira yote yalionesha ni askari ndo walifanya lile tukio na kuzika kwa kigezo mwili hauna taarifa zozote
wakati hawakutangaza popote nasisi tulifatilia kilapahala all in all mungu ndo anajua.
 

mkuu iliniuma mno bt nashukuru Ilinifunza mambo mengi, haya maisha hayana huruma ni inabidi kuishi kijasusi, tuwasome watu walotuzunguka vzuri, tudhibiti taarifa zetu zisizagae ovyo, nzuri au mbaya ila ruhusu watu/mtu wasikie wanachopaswa kusikia bila udhibitisho kwaiyo ibakie nadhani, inshot kwenye maisha jua kutengeneza department yako binafsi ya siri za mambo yako na ulinzi wako iwe kwa imani zozote, mbinu zozote ilimradi ziwezinafanyakazi. Tokea ilo tukio kilasehem niliyo na maslahi nayo nailinda kwa siri sana pia mimi mwemyewe na familia yangu na tumwombe tu mungu atupe mwisho mwema hii dunia sio.
 
kama kweli story imeishia hapa basi niseme tu Bongo Nyoso! na usiichukulie poa Jf kuna mamwela wana monitor what's is goin on here.

Tushukuru hata hapa tulipopata tumepata pakukubwa!

Tamati yangu najiuliza sijui kama hao majambazi/ askari walikamatwaa? walihukumiwa? au wanaendelea na hali gani mpaka sasa?
 
Nasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…