Killings in custody

Simulizi yetu ilikomea hapa...


Note: Kuna askari (simtaji) ndani ya huu mkasa, alikamatiwa akaachiwa. Nitapiga naye Michapo Jumamosi (kaahidi) Pia Mganga ambaye Mussa alienda kwake ana mengi ya kueleza. Mussa alimtajia hadi majina ya wabaya wake. Akamtajia hadi alivyopata pesa zile. Ilikuwa ni lazima aeleze ukweli ili “atibiwe”

Jinsi Mussa alivyopata pesa pia ni story ya kustaajabisha. Sio madini kama ilivyosemwa naye anaupande wake wa pili wa “giza”

Utulivu wenu ndio utanipa ufatiliaji Mzuri


Wakuu wangu nakuja kwenu kinyonge na kwa moyo uliojaa simanzi kwa taarifa hii ya kutoendelea na hii simulizi kwasasa mpaka hapo baadae kwasababu zilizo nje kabisa ya uwezo wangu

Naomba radhi tena na tena na nawaombeni mbo msinifikirie chochote kibaya.. Kwa namna yoyote ile mambo yatakapokaa sawa tutaendelea.. Mnisamehe sana sana sana. Halikuwa lengo langu kutofika tamati
Asanteni sana kwa kunielewa
 
 
 
Tayari wameshakupiga beat,na mshana wewe unafahamika vizuri...bora ungekuja na new id ingekuwa poa zaidi,binafsi nimekuelewa sana.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Haki si Haki. Haya mambo yanamwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…