Sijasahau ndio maana nikasema huu mfumo hautakuwi kabisa. Ni kama ambavyo kamera za barabarani hapa nchini, hasa kwenye majiji kama Dar, Mwanza, Arusha nk ambavyo hazitakiwi.
Umeona eeeeh? Imagine mfanyakazi wa benk anatoa siri za Mteja wa bank. I hope kwenye hili sakata naye atakuwa ameingizwa na ikibidi benk imfukuze kazi.
Unajua hiki alichokifanya Mshana Jr kilitakiwa kifanywe na waandishi wetu wa kiuchunguzi kama wafanyavyo wenzetu Kenya. Sasa sisi waandishi wetu mara ya mwisho niliona tuu ile kazi ya kiuchunguzi ya Jeri Muro kama sijakosea akiwafuatilia madereva barabarani na trafiki kwenye issue ya rushwa. Kwa msukosuko alioupata hakurudia tena.