Killings in custody

Katika msako wake baba yule akabahatisha kuzikuta pesa zile kwenye begi la nguo za Mussa.

Zilikuwa bideni zipatazo 31,500
Mbona unatuchanganya Sasa, hizo 31,500 si zilichukuliwa nusu kwenda kubadilishwa mjini, zinabaki vipi tena 31,500 ?
 
Nawachukia sana askari.
Nawachukia mnooooooo.
Ni mbwa mwitu wauaji
 
Askari Polisi wa Tanzania mikono yao imejaa damu ya Watanzania wenginwasio na hatia kabisa
Mimi siku zote huwa nalaumu sana mfumo uliopo kwenye vituo vya police wa kuingiza na kutoa watuhumiwa. Hivi inashindikanaje vituo vya ma wilayani au vituo vikuuu kutumia mfumo wa Komputa with special programs za kipolisi kum sajili mtuhumiwa? Mfumo ambao mhalifu ataingizwa records zake zote, namba ya NIDA, vitambulisho vingine, picha yake na finger prints? Details za aliyemkamata, makosa yake nk? Na hii ingekuwa connected kwenye server ya HQ na Mkoani. Hii ingefanya watu washindwe kuwabambikia wengine kesi. But it seems for some reasons huu mfumo hautakiwi kabisa.
 
Nitaendelea kumuheshimu Mzee Ruksa. Allah amuongoze katika njia iliyonyooka yeye na sisi, amsamehe makosa yake, amuongezee umri na ampe siha njema.

Nampenda sana Mzee Ruksa kwa ajili ya Allah.
 
Be blessed kaka
 
Nitaendelea kumuheshimu Mzee Ruksa. Allah amuongoze katika njia iliyonyooka yeye na sisi, amsamehe makosa yake, amuongezee umri na ampe siha njema.

Nampenda sana Mzee Ruksa kwa ajili ya Allah.
Na ndiyo maana Allah amempa afya njema na maisha marefu. Hakuna kitu muhimu kwenye maisha ya binadamu kama HAKI.
 
Maybe tatizo heading... (Maybe)
Mkuu wala usisumbuke kuhusu heading iko sahihi kabisa, hasa kwa mtu yeyote makini. Tatizo lililopo miaka hii ni watu kupenda kushabikia mambo ya hovyo hovyo. Ingekuwa hapa ile issue ya Masanja, mkewe na Katibu thread ingeshajaa watu. Yaani nimeusoma huu uzi several times na ku share na jamaa mpaka kikao hapa ofisini kimesimama kwa muda. Halafu kitu ambacho kinaumiza ni kwamba kijana wa watu kauwawa kwa milioni nearly 80, na kwa jinsi hiyo chain
ilivyo ndefu labda aliyepata nyingi ni milioni 6 au 7. Pia it seems polisi hawajifunzi maana tukio la akina Zombe na wenzake na wale vijana wa madini wa Mahenge lilikuwa hivi hivi.
 
ni vp uzi kama huu umepata wasomaji wahache, umefichwa au?
Watu si wanapenda sana mambo ya kipuuzi kupuuzi mkuu? Weka hapa msanii kafumaniwa utaona uzi utakavyokimbia..
Pia kingine ambacho nimejifunza, hasa hasa uhasama ulioanzia kwenye siasa za awamu ya tano, ni kwamba watu wanaona mwenzao kufanyiwa unyama na kupotezwa ni jambo la kawaida tuu... Yaani nowadays ni kawaida kusikia vijana kwenye majukwaa wakijiapiza kuwashughulikia/kuwapoteza wenzao. Akina Sabaya walitesa sana wenzao mpaka kuwatia vilema but kuna watu wanawaona ni mashujaa na role models.
 
Mkuu tayari umeshayasahau ya "Lugumi", mbona ni juzi juzi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…