Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Hebu wewe unayemlaumu huyo Jamaa kwa kumlaumu rais Hebu toa hoja zako za msingi kwenye hili.... Yaani bomoa bomoa inaathiri mpaka majengo na miradi ya serikali wewe unaunga mkono??? Kwa hiyo serikali ilijenga eneo la reli???Ni wewe ndo kichwani uko patupu kabisa. Unakimbilia kulaumu unaonyesha shuleni ulikuwa unapokea kichapo cha ma-zero.
Iponee wapi??? Nenda kapige show za mwisho mwisho..... Unaambiwa mpaka ile malindi ya chambo inakula nyundo....MUNGU WANGU MTENDELE IMEPONA?
....Duh!! kumbe walikua serious eeenhIponee wapi??? Nenda kapige show za mwisho mwisho..... Unaambiwa mpaka ile malindi ya chambo inakula nyundo.
Kumbe wameanzia mbali!!! Toka usagara sec!!! Dah shule langu lile, look to this day, usagara nakupenda wala sitakusahauHebu wewe unayemlaumu huyo Jamaa kwa kumlaumu rais Hebu toa hoja zako za msingi kwenye hili.... Yaani bomoa bomoa inaathiri mpaka majengo na miradi ya serikali wewe unaunga mkono??? Kwa hiyo serikali ilijenga eneo la reli???
Shule maarufu ya usagara inakuwa nyundo wewe unaunga mkono?? Ujinga gani huo??
Mtendele wikiend tulikuwa tunaangali mpira kwa sana dah!!...MUNGU WANGU MTENDELE IMEPONA?
Yaaaan yale mazingira ya tanga yatabadilika sana, hayo majengo yakishushwa....Duh!! kumbe walikua serious eeenh
..Mmmh waangalie wasivunje na Bandari maana ndio Icon ya TangaYaaaan tale mazingira ya tanga yatabadilika sana, hayo majengo yakishushwa
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaKUBOMOA RAHISI SAAAAAAAAAAAAAANA
KUJENGA NDIO ILIKUWA ISSUE NA ITAKUWA ISSUE SAAAAAAAAAAAAAAAAANA
....Wakitoka hapo wahamie Waridi na Redsea wamalizie na Apollo.
Shule ya msingi niliosoma imepisha uwanja wa ndege terminal 3 .Hebu wewe unayemlaumu huyo Jamaa kwa kumlaumu rais Hebu toa hoja zako za msingi kwenye hili.... Yaani bomoa bomoa inaathiri mpaka majengo na miradi ya serikali wewe unaunga mkono??? Kwa hiyo serikali ilijenga eneo la reli???
Shule maarufu ya usagara inakuwa nyundo wewe unaunga mkono?? Ujinga gani huo??