Kilimo partners

Kilimo partners

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,244
Reaction score
7,723
Nipo Mbeya nafanya shughuri ya ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mwanzo mradi ulienda vizuri sana lakini nimekutana na changamoto ambayo imenifanya nianze upya.

Wazo nililonalo ni kufanya kilimo cha bustani. Maeneo niliyopo kilimo cha nyanya, hoho, vitunguu, viazi mviringo na matango yanaruhusu. Kilimo cha umwagiliaji kwa maeneo haya pia ni 100%

Changamoto ni mtaji maana mashamba yapo ya kutosha ila gharama za uendeshaji ndio shida kwa upande wangu kwa sasa.

Kupitia partnership, tunaweza fanya kilimo hiki ambacho kina soko la uhakika. Mimi nitatoa shamba na muda wangu ambapo tutagawana kwa makubaliano tutakayofikia.

Kwa yeyote atakayevutiwa na hii idea, karibu sana kwa mawasiliano ya simu na whatsap 0714265105
 
ujatuambia mtaji unatakiwa kiasi gani?
 
Kilimo akiko hivyo. Je una uzoefu wa mda gani kwenye hayo mazao tajwa na uko mbeya mjini au vijijini
 
Kilichotokea ni hatari tupu
Kuku ulikuwa unafuga ukupata mtaalamu jinsi ya kulinda kuku magonjwa.
Ukuwa na josho au ulikuwa unafugia ukichanganya wanyama na eneo ambalo lina muingiliano na makazi
 
Walipewa mahindi yenye sumu na mtesu wangu. Ni hadithi ndefu sana nikianza kukusimulia
 
Back
Top Bottom