Hao kuku unasema wa kienyeji lakini inawezekana kabisa wakawa si pure kienyeji ila ni chotara. Chotara wanataga lakini hawalalii mayai, wameumbwa hivyo genetically
Unahitaji kuweka hayo mayai kwa kuku mwingine anauelalia au kwenye mashine ya kutotoa vifaranga (eggs incubator)