taikuny JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 1,206 Reaction score 717 Dec 19, 2022 #1 Aya marofa wenzangu turudi mjini kupumnzika na kuukarisha mwaka
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,696 Reaction score 2,921 Dec 22, 2022 #2 taikuny said: Aya marofa wenzangu turudi mjini kupumnzika na kuukarisha mwaka View attachment 2451522 Click to expand... Mkuu tunaomba mwongozo juu ya ufugaji wa kuku hao nahitaji hii mbegu tafadhali.
taikuny said: Aya marofa wenzangu turudi mjini kupumnzika na kuukarisha mwaka View attachment 2451522 Click to expand... Mkuu tunaomba mwongozo juu ya ufugaji wa kuku hao nahitaji hii mbegu tafadhali.
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,738 Reaction score 8,013 Dec 23, 2022 #3 Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama. Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi. Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu
Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama. Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi. Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,696 Reaction score 2,921 Dec 23, 2022 #4 Marytina said: Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama. Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi. Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu Click to expand... Naomba utusaidie kutufafanulia kwanini unasema ufugaji wa kuchi hauna faida?
Marytina said: Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama. Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi. Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu Click to expand... Naomba utusaidie kutufafanulia kwanini unasema ufugaji wa kuchi hauna faida?
kallenge JF-Expert Member Joined Mar 5, 2021 Posts 765 Reaction score 779 Dec 23, 2022 #5 Marytina said: Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama. Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi. Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu Click to expand... [emoji28][emoji28][emoji28]
Marytina said: Picha sio ya mfugaji ni mtuza wanyama. Hamna faida yeyote ya kufuga kuchi. Ufugaji unalipa ila kilimo sijaona kikimlipa mtu Click to expand... [emoji28][emoji28][emoji28]