Nenda kiwandani wakutengenezee ukubwa na bora unaotaka.
Pia nunua pumba za munga Nichome moto kisha changanya na mbolea ya nguruwe.
Chukua uozo(mboji) changanya pia
Yaani bumba zilichomwa,mbolea ya nguriwe, mboji, weka mbole ya ng'ombe iliyo oza vizuri kisha changanya na mchanga wa kawaida kiasi kidogo tu.
Panda hizo mbogamboga zako harafu lete mrejesho hapa...
Tafuta mkojo wa sungura ndo iwe dawa ya kuua wadudu na booster.