....... Tanzania is forecast to grow at a rate slightly 6.9%pa over 2012-2017. Agriculture is an important contributor to GDP, according for 26% and goverment is very supportive of this sector development. A number of initiative are underway to inhance its perfomance. Hawakutaja chochote kuhusu kilimo kwanza, hawa ni IMF report, source; Website
www.imf.com
Kutoka chanzo hiki, Watengenezaji maarufu wa pembejeo za kilimo toka Marekani
John Deer, kutokana na msukumo wa soko kwa uhitaji mkubwa wa zana za kilimo waliamua kuweka viwanda vyao katika nchi za India, China, na Mexico ambako trekta moja linazalishwa kwa gharama ya dola
$12,000.
Mozambique, wakulima wa kiwango cha chini huwezeshwa kununua trekta kwa kuwekeza kiasi cha
$5000 (deposit) tu katika BAnk ya Standard, na mkopo huo husimamiwa na
USAID.
Ninachojiuliza haya maigizo ya Bank ya wakulima, sijui Matreka ya
SUMA-JKT ya mil 25. Tunamfanyia nani? Mbona wenzetu wanaangalia kilimo kwa mtizamo wa kipekee sana, sisi serekali yetu hata aibu hakuna? Inanipa mashaka makubwa kuamini kama viongozi na serikali wanamaanisha wanachokisema juu ya Kilimo Kwanza.