KILIMO EXTENSION SERVICE (KES)*

KILIMO EXTENSION SERVICE (KES)*

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
966
Reaction score
537
Hii ni huduma mpya kutoka kwenye kampuni yako pendwa ya Kinasoru East Africa (T) LTD. Ni huduma inayolenga kujibu changamoto za wakulima na wafugaji katika mnyororo wa uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo.

Ukiwa na changamoto yoyote ya Kilimo na ufugaji, maswali ya ufahamu, kutaka kujua namna ya kuanzisha miradi, uendeshaji wake nk au kutaka kujua namna ya kudhibiti magonjwa ya mifugo na mimea au kupata masoko ya uhakika ya mazao yako, KES itakupa majibu ya uhakika. Siku zote, Kinasoru East Africa Tanzania Ltd iko kwa ajili ya kurahisisha maisha ya mkulima kwa kutoa huduma bora na za uhakika popote pale ulipo.

Kilimo Extension Service imekuja kutatua changamoto zako kwa njia ya mawasiliano, inaweza ikawa ya moja kwa moja kwa njia ya kuongea kwa simu au kupitia ujumbe mfupi, au ujumbe mrefu kwa njia ya whatsap, Telegram, Messenger au barua pepe. Huduma hii imekuja kufuatia kuimarika kwa mifumo ya mawasiliamo. Kwahiyo kwa wakulima ambao wamekosa fursa ya kuonana na wataalam, KES itakuwa msaada wao wa karibu. Na kama utakuwa na swali lolote kuhusu kilimo, mifugo, miradi pamoja na masoko Au kilimo Biashara kwa ujumla wake KES itakupa majibu ya kina yatakayokuwezesha kutatua changamoto yako na hatimae kukuwezesha kusonga mbele. Usikubali changamoto ikupeleke kwenye hasara. Shirikiana na kinasoru East Africa kupitia huduma yake ya KES upate mafanikio kwenye mradi wako.

*Gharama za huduma*

Ukitaka kujua chochote au tukutatulie changamoto yako kipitia Simu au whatsap au barua pepe, utapaswa kwanza kulipia TZS 500/= kwenye namba +255715989713 kisha utauliza swali lako. Namna ya kuuliza unaweza kupiga simu moja kwa moja, unaweza kutuma ujumbe mfupi au ujumbe mrefu kwa barua pepe, whatsap, Telegram au facebook kupitia msenger. Mwisho wa kupiga simu ni saa nne usiku.

Ukilipia mia tano yako utapata fursa ya kuuliza maswali wakati wowote ndani ya kutwa moja. Namba za mawasiliano ni +255767989713, +255715989713, +255786989713, 0655038210, email info@kinasoruea.co.tz amanngoma@gmail.com, facebook account Aman Ng'oma facebook page Kinasoru East Africa Tanzania Ltd.

Kama una pesa na hujui ufanye mradi gani karibu tukushauri na kukusaidia kukubunia mradi wenye tija na kuendana na mazingira yako. Kinasoru East Africa (T) Ltd iko kwa ajili yako. Ikiwa unafuga kuku na wanakufa hovyo, au wanaumwa na hujui wanasumbuliwa na nini au wamefikisha umri wa kutaga lakini hawatagi, au wanadonoana, au unataka huduma bora ya vifaranga, masoko nk.kupitia KES itakuonyesha njia.

Kwa wastaafu halidhalika hii ni fursa maridhawa sana kwao kwa kuwa inatoa uelewa na kuwaonyeaha njia ya kupita baada ya kustaafu.

Hakuna kulala, tupo kwa ajili ya kutoa huduma tofauti. KILIMO EXTENSION SERVICE ni kama kituo cha huduma za wakulima, wafugaji na wafanyabiashara Kilimo. Kupitia KES, mkulima atakuwa na nafasi ya kuuliza taarifa mbalimbali zenye msaada kwake.

Kupitia KES tutakuwa tukijibu maswali ya Wakulima, Wafugaji na wote wanaofanya Kilimo biashara kwa nchi zote za Africa Mashariki kupitia hudumu ya mitandao ya kijamii. Kwahiyo popote ulipo tutakuhudumia bila hofu yoyote.

Karibuni kwa huduma bora.

Aman Ng'oma
Kinasoru East Africa (T) LTD
Senje street, Arusha Road
Msalato Dodoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom