B bumba Member Joined Feb 13, 2014 Posts 53 Reaction score 3 Feb 20, 2014 #1 Naomba kuelemishwa nataka kulima kilimo cha vitunguu kuanzia ekari tatu. Naomba msaada nianzie na mtaji gani na gharama yote nitakayoingia mpaka nitakapovuna. Pia masoko nitapata wapi na kwa bei gani?
Naomba kuelemishwa nataka kulima kilimo cha vitunguu kuanzia ekari tatu. Naomba msaada nianzie na mtaji gani na gharama yote nitakayoingia mpaka nitakapovuna. Pia masoko nitapata wapi na kwa bei gani?