Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

Umenena vizuri sana mkuu na kutoa honyo juu ya kukurupuka
 
Waungwa na habari ya majukumu. Tafadhari naomba kujua bei ya vanila kwa sasa. Na hasa wap naweza pata mteja. Tafadhari mwenye abc anijulishe.
 

Bukoba kuna watu wanalima.. wameweka mpaka electrical fence na mataa makali yanawaka usiku.. na mlinzi juu
 
Ubarikiwe sana Chifu kwa kutushirikisha uzoefu wako.
 
Siku zote kilimo cha magazetini huwa kina faida sana! Yani mpaka unajiuliza kwahiyo hao wakulima wengine huwa wanafeli wapi?
 
Hahaha kuna kitu inaitwa hand pollination au manual P.

Sasa wakajichanganye
 
Maneno mengi lakini hakuna hata mtu aliyeweka connection ya mnunuzi/soko
Wabongo maselfish

Ova
 
Maneno mengi lakini hakuna hata mtu aliyeweka connection ya mnunuzi/soko
Wabongo maselfish

Ova
Haya ni baadhi ya makampuni yanayonunua vanilla hapa Tz,MARUKU FARMING AND PROCESSING INDUSTRY,KAVANIFA.Tembelea pages zao kwa maelezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…