Kilimo cha umwagiliaji rahisi

Jamani naomba mtu anayejua bei ya splinker yenye uwezo wa kurusha maji angalau umbali wa mita 15 kutoka ilipo splinker
Urushaji wa sprinklers unadepend na pessure ya maji yako pia. Je source yako ya maji ni nini?
 
hayo ni matokeo ya kufanya nachopenda lazima uwe mbunifu.s
 
mimi nnashamba na kisima nimechimba kina pump na tank za maji km kuna anayehitaji kukodisha pm lipo mkuranga dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…