mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,758
Nahitaji kujua ni kilimo gani kitafaa kwa uangalizi wa mbali au maudhulio ya shamba ambayo ni angalau mara moja baada ya wiki tatu au mbili.
Kila nikijaribu kitu chchite naishia kuvutiwa na kulima na kufuga tu. Lakini kama ilivyo changamoto ya wengu usimamizi au uangalizi wa mbali imekuwa ni kikwazo.
nahitaji kujua mliofanikiwa mnafanyaje.
Kila nikijaribu kitu chchite naishia kuvutiwa na kulima na kufuga tu. Lakini kama ilivyo changamoto ya wengu usimamizi au uangalizi wa mbali imekuwa ni kikwazo.
nahitaji kujua mliofanikiwa mnafanyaje.