Duuu hawakukujibu looh
Tembele ...kwatua aridhi kwa rato au jembe ,toa majani yote kwa reki ..weka mbolea ya ngombe au mbuzi au kitimoto then otesha tembele kwa kukata vipande vipande kama utatumia mbolea ya kuku nitumie baada ya tembele kuanza kuota maana ni Kali sana inaunguza mizizi