Mna mashamba yenye ukubwa wa hekali ngapi ninyi kama wahamasishaji wa PDF.
Mnaweza mkakopa benki ya Kilimo badala yabkudunduliza pesa za wakulima wadogo, mkalima mahekali mengi ikawa mfano. Maana faida ni kubwa mno kuja kuomba hela yangu kisha mnifanyie kila kitu halafu mnunue.
I am sorry