Tanga wanategemea sana mazao ya kudumu, machungwa na minazi. Ukishapanda una fyekea tu kila mwaka. Kilimo cha chakula kama mpunga, mahindi, maharage na mihogo ni kidogo tu kwa mahitaji ya familia.
Hiyo mifereji inamwagilia maji, siri kubwa ya migomba ni maji. Tuliwahi kupanda ndizi malindi ilikua kando ya karo la kuoshea vyombo. Ilitoa mkungu mkubwa sana.