fakhbros
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 382
- 654
Naombeni mbinu za ukulima wa Mtama unaofaa kutengeneza via
Je upatikanaji wa Mbegu upo vipi Maana hata aina siifahamu nia aina gani ya mtama inayofaa kulimwa ktk mkoa wa pwani
Na je mtama hukomaa kwa kipindi cha muda gani hadi kuvunwa
Ni changamoto gani ambazo hukumbana nazo ktk KILIMO
Je