Njoo wilaya ya mbarali hapa, kata ya mawindi...vijiji vya huku vyote ni kilimo tu...na sasa ndio watu wanavuna mpunga wao....karibu sana(maarufu zaidi kama bonde la usangu)Maeneo Gani mbeya naweza kupata eneo la kulima mpunga na gharama zake?
Msaada please
Mkuu vipi mpunga mwaka huu ni mwingi huko?Njoo wilaya ya mbarali hapa, kata ya mawindi...vijiji vya huku vyote ni kilimo tu...na sasa ndio watu wanavuna mpunga wao....karibu sana(maarufu zaidi kama bonde la usangu)
Wengi ni kilio, maji yalikua machache....wachache wamepata, kama unataka wa kununua upoo, ingawa wenyewe wanasema mwaka huu hali ni mbayaMkuu vipi mpunga mwaka huu ni mwingi huko?
Mkuu nilikuwa na mpango ninunue na pia nilikuwa nataka nije kukodi mashamba mapemaWengi ni kilio, maji yalikua machache....wachache wamepata, kama unataka wa kununua upoo, ingawa wenyewe wanasema mwaka huu hali ni mbaya
Mi nilikua napita tu huku lakini siondoki kwanza nifanye namna nipate shamba kabisa then msimu ujao nilime mana nimeona fursa nzuri sana.....hapa mungu akijalia ninunue pia niuweke ndani mwsho wa mwaka niulete town tukimbizane hukoo......pesa tu hapa ndio pasua kichwaaMkuu nilikuwa na mpango ninunue na pia nilikuwa nataka nije kukodi mashamba mapema
Mkuu sijawahi kufika huko ila nasikia tu...vipi kwa maelezo ya wenyeji si wanadai mpunga unakubali mno?Mi nilikua napita tu huku lakini siondoki kwanza nifanye namna nipate shamba kabisa then msimu ujao nilime mana nimeona fursa nzuri sana.....hapa mungu akijalia ninunue pia niuweke ndani mwsho wa mwaka niulete town tukimbizane hukoo......pesa tu hapa ndio pasua kichwaa
Mkuu kukodi hekali moja ya shamba la mpunga ni kiasi gani huko?Mi nilikua napita tu huku lakini siondoki kwanza nifanye namna nipate shamba kabisa then msimu ujao nilime mana nimeona fursa nzuri sana.....hapa mungu akijalia ninunue pia niuweke ndani mwsho wa mwaka niulete town tukimbizane hukoo......pesa tu hapa ndio pasua kichwaa
Ukimpata mwenyeji wako mzuri anakuelekeza pazuri, kuna mashamba hata iwe hali gani unatapa....mfano hapo nilipopiga picha ni shamba la uhakika sana na wenyeji wanajua hivo linagombewa sana na hapa wanavuna lakini watu washalipia tyari kwa msimu ujao.....kwahyo huku ni nzuri upate mwenyeji akupe ramani za maeneo na mpunga unakubali sana mana hawa wakazi wa huku shughuli yao kubwa ni kilimo cha mpunga ndio mana unaona hata combiner zipo za kutosha tu mana maeneo ya kuvunwa pia yapoMkuu sijawahi kufika huko ila nasikia tu...vipi kwa maelezo ya wenyeji si wanadai mpunga unakubali mno?
400k mkuuMkuu kukodi hekali moja ya shamba la mpunga ni kiasi gani huko?
Kwakweli bora kununua tuUkimpata mwenyeji wako mzuri anakuelekeza pazuri, kuna mashamba hata iwe hali gani unatapa....mfano hapo nilipopiga picha ni shamba la uhakika sana na wenyeji wanajua hivo linagombewa sana na hapa wanavuna lakini watu washalipia tyari kwa msimu ujao.....kwahyo huku ni nzuri upate mwenyeji akupe ramani za maeneo na mpunga unakubali sana mana hawa wakazi wa huku shughuli yao kubwa ni kilimo cha mpunga ndio mana unaona hata combiner zipo za kutosha tu mana maeneo ya kuvunwa pia yapo
Nadhani kununua itakuwa siyo mchezo bei yake kukodi Kwa msimu mmoja hekali mdau kasema laki nne.Kwakweli bora kununua tu
Huko ndo Kuna mashamba sasa huku Mwanza sijawahi kuona combiner harvester itakuwa huko ni mashamba haswa.Ukimpata mwenyeji wako mzuri anakuelekeza pazuri, kuna mashamba hata iwe hali gani unatapa....mfano hapo nilipopiga picha ni shamba la uhakika sana na wenyeji wanajua hivo linagombewa sana na hapa wanavuna lakini watu washalipia tyari kwa msimu ujao.....kwahyo huku ni nzuri upate mwenyeji akupe ramani za maeneo na mpunga unakubali sana mana hawa wakazi wa huku shughuli yao kubwa ni kilimo cha mpunga ndio mana unaona hata combiner zipo za kutosha tu mana maeneo ya kuvunwa pia yapo
Asante sana Kwa response Yako una Moyo mkuu gunia la mpunga Bei Gani? Kwa sasa mkuuNjoo wilaya ya mbarali hapa, kata ya mawindi...vijiji vya huku vyote ni kilimo tu...na sasa ndio watu wanavuna mpunga wao....karibu sana(maarufu zaidi kama bonde la usangu)
Ofkoz kulima kuna changamoto zake, ingawa kwa huku kijijini kabisa uhuni sio sana ukilinganisha na ukianza kusogea rujewa na ubaruku hukoKwakweli bora kununua tu
Eneo ni laki 4 kwa huku, mpunga unacheza kwa 90,000 huku mawindi kule rujewa naskia ni 105,000 kwa gunia....eneo mimi nipo kata ya mawindi kijiji cha isunuraMaeneo Gani mbeya naweza kupata eneo la kulima mpunga na gharama zake?
Msaada please
Asante sana Kwa response Yako una Moyo mkuu gunia la mpunga Bei Gani? Kwa sasa mkuu
Nadhani mbarali ushaiskia mkuu, sehemu kubwa huku ni wakulima miaka na miaka....wengine tunatoka town tunakuja huku kucheki fursa namna hii....jamaa wanapiga sana kilimo....wengi wa huku mitaji ni shida kwahyo wa town ukija huku na hela flani nzuri au milioni kadhaa unatokaaa mana mchele wao uko vizuri sana so soko ni uhakika kwa mjini kama daslam hiviHuko ndo Kuna mashamba sasa huku Mwanza sijawahi kuona combiner harvester itakuwa huko ni mashamba haswa.