NostradamusEstrademe JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 3,868 Reaction score 5,164 Nov 2, 2019 #1 Ninapenda sana mbaazi nataka kulima zinapandwa wakati gani?..Na mti wake unadumu kwa muda gani ukiendelea kutoa mbaazi?Naomba waliolima wanifafanulie zaidi
Ninapenda sana mbaazi nataka kulima zinapandwa wakati gani?..Na mti wake unadumu kwa muda gani ukiendelea kutoa mbaazi?Naomba waliolima wanifafanulie zaidi
S Samson Ngomboli JF-Expert Member Joined Oct 30, 2019 Posts 1,598 Reaction score 2,714 Nov 2, 2019 #2 Subiri mkuu wanakuja