Truthg Member Joined Sep 3, 2015 Posts 54 Reaction score 17 Sep 19, 2016 #1 wadau naomba kuuliza, ni wapi zinapatikana mbegu za mbaazi kwa mikoa ya Mbeya, Iringa Njombe na Ruvuma?
wadau naomba kuuliza, ni wapi zinapatikana mbegu za mbaazi kwa mikoa ya Mbeya, Iringa Njombe na Ruvuma?
kilimobiznet Member Joined Jun 14, 2015 Posts 25 Reaction score 12 Oct 10, 2016 #2 Mbegu zinapatikana nchi nzima... Weka oda yako kwa kupitia Graduate farmers upatiwe na ushauri
Truthg Member Joined Sep 3, 2015 Posts 54 Reaction score 17 Oct 18, 2016 Thread starter #3 kilimobiznet said: Mbegu zinapatikana nchi nzima... Weka oda yako kwa kupitia Graduate farmers upatiwe na ushauri Click to expand... ahsante, nimekupata
kilimobiznet said: Mbegu zinapatikana nchi nzima... Weka oda yako kwa kupitia Graduate farmers upatiwe na ushauri Click to expand... ahsante, nimekupata
iparamasa JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 13,437 Reaction score 14,934 Oct 18, 2016 #4 nasikia mbaazi ni mmea.muhimu sana kwa wachawi na waganga,kama mchawi hana huu mti hajakamilika,wakitoka usiku lazima wawe nao,wanaitumia kuhifadhi misukule,waganga nao wanaitumia kwa tiba
nasikia mbaazi ni mmea.muhimu sana kwa wachawi na waganga,kama mchawi hana huu mti hajakamilika,wakitoka usiku lazima wawe nao,wanaitumia kuhifadhi misukule,waganga nao wanaitumia kwa tiba
steyn JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 372 Reaction score 82 Oct 18, 2016 #5 Huku kwetu mbaazi ni zao la Biashara,ila msimu huu mnunuzi wa bidhaa hii ametughilini sana,yaani bei imeshuka mara tatu ya msimu uliopita
Huku kwetu mbaazi ni zao la Biashara,ila msimu huu mnunuzi wa bidhaa hii ametughilini sana,yaani bei imeshuka mara tatu ya msimu uliopita