mwandorobo
Member
- Jul 7, 2018
- 56
- 71
Habari wakuu, ninaweka uzi huu mfupi kukusanya uzoefu kutk watu mbalimbali, nikiwa na uzoefu wa kulima zao hili kwa zaidi ya misimu minne tofauti, na imekuwa kila msimu ninaolima nimekuwa nikianza vizuri na hatimaye kwenye mavuno naangukia pua na kupata hasara (mambo ni mengi unaweza kuhisi hadi uchawi unahusika😄). Ikafika hatua mtaji wote Ukakata na Imebidi nirudi tena mjin kujipanga upya. Inakatisha tamaa kimsingi lakini niliapa lazima nijipange upya na nirudi tena shamba nikaikomboe😄 pesa yangu niliyoizika huko. tafadhali usisite kushare uzoefu wako, mafanikio au ulifeli wapi?
). Ikafika hatua mtaji wote Ukakata na Imebidi nirudi tena mjin kujipanga upya. Inakatisha tamaa kimsingi lakini niliapa lazima nijipange upya na nirudi tena shamba nikaikomboe