Hapa inaonesha ulipanda bila mbolea au shamba linatuamisha maji sana, hii rangi ya dhambarau inaonesha upungufu mkubwa wa phosphorus P, ambayo inapatkana kwenye mbolea kama DAP, TSP, MINJINGU, NPK &NPS
Kuna jamaa yake yalikuwa kama hayo yako na hakuyawekea mbolea,mahindi hayaridhishi hata kidogo yana shina dogo sana na ubebaji wake ni changamoto
Fuata ushauri wa wadau tafuta mbolea uweke