Kishindo kizito
New Member
- Jan 28, 2020
- 3
- 1
Great Thinkers msaada wa mawazo tafadhali, nimetingwa.
Iko hivi mimi ni mkulima mdogo tu wa mahindi. Sasa trip hii wazo la kulima mahindi na nyanya kwa kutegemea Mvua yaani kipindi cha masika ndani ya shamba moja limenijia.
Vipi, inawezekana au ndio ndoto za abunuasi? Naomba nisaidiwe mawazo nimetingwa.