Uko wap mkuu.??
Nashukuru sana mkuu kwa utayari wako kunisaidia. Ngoja niendelee kungoja labda atajitokeza mmojawapo anayejua.ungekuwa mitaa ya moshi au arusha ningekusaidia mkuu, kwa zone hiyo sina mtu,, pole mkuu, wadau wanakuja watakusaidia... hongera kwa ujasiria mali maana ajira zimekuwa wizi mtupu,,,,
Nashukuru sana mkuu kwa utayari wako kunisaidia. Ngoja niendelee kungoja labda atajitokeza mmojawapo anayejua.
Aaah, kumbe pale maliasili huwa wanaweza kuwa nayo? Panaweza kunirahisishia! Thanks mkuu.Nenda SUA kuna miche mingi na bei yake haizidi sh 100 kwa mche huku bongo wanauza sh 500 mali asili,kama vp ikifika 77 nenda pale utoe order yako!
Thanks mkuu, unayo mwenyewe au wewe ni dalali? Sitaki middle man, kama unaifahamu ilipo nielekeze tu niifuate!Embu ncheck kwa 0718182032
Wengi wamenambia miche bora inapatikana SUA. Lakini naona King Kong anasema hata pale maliasilia naweza kupata. Labda nijaribu kwanza hapo. Hope hawachakachui.kama ni miembe ya muda mfupi na michungwa hauna ujanja nenda SUA,pale kwanza ni uhakika na utapewa maelekezo ya ziada namna ya kuyahudumia miche kitaalamu..nimepanda mimi iyo miche ina maembe matamu sana,na wanakufundisha kupandishia mche mmoja unaweza toa aina tofauti za matunda tena mengi hadi mche unazidiwa.