Mkuu kilimo cha Alizeti kipo simple sana, ni palizi moja tu mambo bwerere.Wadau Habarini.
Naomba kujuzwa machache kuhusu kilimo cha alizeti.
Katika ekari moja yanapatikana mazao gunia ngapi?
Je, kama nahitaji kufanya biashara ya mafuta kipi ni bora kati ya kununua alizeti au kulima mimi mwenyewe.
Natanguliza shukurani zangu kwa kila atakayechangia
Mkuu kilimo cha Alizeti kipo simple sana, ni palizi moja tu mambo bwerere.
Ili uweze kupata mavuno mazuri lazima uzingati haya:
-Ardhi, inatakiwa iwe ni ardhi zuri yenye rutuba japo alzeti huwa haisumbui sana kwenye ardhi nyingi.
-Kiwango cha Mvua, mvua iwe ya kuridhisha japo mvua ya kawaida inatosha kabisa
Idadi ya gunia kwa ekari siwezi kujua idadi kamili ila itategemeana na jinsi zao litakavyonawiri na kuiva vizuri.
Kuhusu soko, soko bado lipo chini sana kwa miaka mingi hadi leo hii.
Kwa sasa wakati wa mavuno bei ni ndogo sana(30,000/= kwa gunia) ila baadae huwa inapanda hadi kufikia 50/55 elfu kwa gunia. Hapa hadi ikifika kipindi ambapo umeanza kuadimika kati mwezi November
Mimi nakushauri uwe unanunua na kukamua halafu uwe unauza mafuta.
N:B Wenyeji wengi wa Dodoma kwa maana ya wagogo, sio watu waaminifu hata kidogo!!Dodoma zao za la Alizeti lina stawi sana...
Kuna mashamba ya kukodi kule... yani wewe unampa mtu pesa za gharama tu...
Unafanyiwa kila kitu... ukiamua unauza alizeti kama alizeti au unaenda kuikamua na kupata mafuta alafu unauza mafuta...
Cc: mahondaw
pmWakuu habarini, mimi naomba kuuliza ni wapi naweza pata mashine za kukamua mafuta yq alizeti kwa hapa dar, tafadhali mjuzi naomba anijuze.
👍 👍Dodoma zao za la Alizeti lina stawi sana...
Kuna mashamba ya kukodi kule... yani wewe unampa mtu pesa za gharama tu...
Unafanyiwa kila kitu... ukiamua unauza alizeti kama alizeti au unaenda kuikamua na kupata mafuta alafu unauza mafuta...
Cc: mahondaw
pmWakuu habarini, mimi naomba kuuliza ni wapi naweza pata mashine za kukamua mafuta yq alizeti kwa hapa dar, tafadhali mjuzi naomba anijuze.
Hivi unamshaurije mtu anunue akamue kama hana hela?? Yeye anataka akalime apate mtaji wewe unamuambia anunue akamueMm nawez kukushauri kidogo kuhusu Hilo zao! Lina vitu vngi mno, but generally, nivyema ukawa unanunua mbegu/nafaka tu then unakamuaa!
Tunalima mwaka huuMwaka huu hatulimi alizeti?
Wataalamu wa kilimo na wakongwe kwenye zao hili njoon hku mtupe msujuzi