KILIMO BIASHARA KARIBU UNUFAIKE

sakapesa

Senior Member
Feb 19, 2014
100
50
TAASISI YA PEACE ADVOCATES FOR AGREEABLE ENVIRONMENTAL SOCIETY TANZANIA

Inawatangazia wananchi fursa ya mashamba ya kilimo biashara yanayoendeshwa kwa kilimo biashara na ufugaji wa kuku wa asili.

Mipango yote miwili ya kilimo na ufugaji inaendeshwa kwa kutekeleza sera ya uwezeshaji wa wananchi kiuchumi. Mpango kilimo biashara unahusisha mazao yafuatayo

1. MAHINDI

2. MIHOGO

3. UFUTA

4. ALIZETI

5. MTAMA

6. KARANGA

7. MATIKITI

8. MATANGO

9. MBOGA MBOGA

10. MPUNGA

Mpango kilimo na biashara utakuwezesha kupata kipato cha tsh. Milioni arobaini na tano (45,000,000) kwa mwaka. Mpango wa ufugaji kuku wa asili (kopa kuku lipa kuku) Utawezesha kupata kipato cha tsh. Milioni thelathini na tano (35,000,000) kwa mwaka. Jiunge leo upate suluhisho la kukuza uchumi wako na kipato chako. Wahi sasa fomu za kujiunga na mipango yote miwili zinapatikana ofisi za PEACE zilizopo makutano ya barabara ya MANDELA na CHANG’OMBE karibu na kiwanda cha SERENGETI BREWERIES mkabara na shuleya secondary ya KIBASILA.

Kwa mawasiliano -SIMU 0719691152 – 0716-555889

Msimu wa kilimo unaanza JUNI 2017

MWANANCHI UTANUFAIKA NA

1. HUDUMA ZA UGANI

2. SOKO LA UHAKIKA

3. MAFUNZO YA UFUGAJI NA KILIMO

4. PEMBEJEO ZA KILIMO KWA GHARAMA NAFUU
 
Naomba kutamka mapema kuwa hii ni aina nyingine ya Deci. Watu watapigwa kuanzia hela za fomu nk.
Wanawachanganya watu Kwa kuandika hizo figure ili kuwahamasisha lakini hakuna details za kutosha ikiwa ni pamoja na wapi mashamba yaliko.
Kama nia ni kulima matango, ninashindwa vipi kufanya mwenyewe hadi nije kwako? Hivyo hivyo ktk ufugaji, wao wana kitu gani ambacho Mimi nitakosa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom