M mkizantongani Member Joined Apr 1, 2012 Posts 66 Reaction score 11 Dec 3, 2012 #21 Chamoto said: Mimi huwa naamini kili Stars ni bora zaidi ya Taifa Stars yaani kama vile wazenji wanatuwekeaga gundu. Click to expand... Hapa ndipo huwa naichukia siasa ktk michezo hususan kwa timu yetu ya taifa
Chamoto said: Mimi huwa naamini kili Stars ni bora zaidi ya Taifa Stars yaani kama vile wazenji wanatuwekeaga gundu. Click to expand... Hapa ndipo huwa naichukia siasa ktk michezo hususan kwa timu yetu ya taifa
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Dec 3, 2012 #22 Mwevi said: kila la kheri watzee sote (kili stars & znz stars) Click to expand... yametimia zinakutana nusu fainali.
Mwevi said: kila la kheri watzee sote (kili stars & znz stars) Click to expand... yametimia zinakutana nusu fainali.
nngu007 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 15,860 Reaction score 5,803 Dec 3, 2012 #23 DANGER GOAL.COM the website has VIRUS... MSIENDE mtabeba VIRUS...
M Mafuluto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2009 Posts 1,860 Reaction score 860 Dec 3, 2012 #24 ..Mie m bara lkn nadhani tanganyika ndo ina gundu...! BTW nao Zenji wamefuzu, na kiukweli tukikipiga nao hatuoni ndani wale wapo fiti kinoma na hawategemei ngongoti.. !! Chamoto said: Mimi huwa naamini kili Stars ni bora zaidi ya Taifa Stars yaani kama vile wazenji wanatuwekeaga gundu. Click to expand...
..Mie m bara lkn nadhani tanganyika ndo ina gundu...! BTW nao Zenji wamefuzu, na kiukweli tukikipiga nao hatuoni ndani wale wapo fiti kinoma na hawategemei ngongoti.. !! Chamoto said: Mimi huwa naamini kili Stars ni bora zaidi ya Taifa Stars yaani kama vile wazenji wanatuwekeaga gundu. Click to expand...
W Wanzagi Member Joined Nov 2, 2007 Posts 95 Reaction score 14 Dec 4, 2012 #25 Big up to Kili Stars. Lets hope for Znz vs Kili Stars final!