Kilimanjaro Marathon Results

Gwizzy

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
538
1,000
Kilimanjaro Marathon was held on 3rd March 2019 (jana), nimetafuta results kwenye mtandao nikakosa. I however stumbled upon the results for the 2018 edition. See below:

42 KM

Kilimanjaro marathon.JPG


21 KM
21 KM.JPG


Hapa Kidogo WaTZ walijikaza. Lakini Hawa ni WaTZ kweli? Hayo majina nikama ya Kikenya hivi:

7. Paul Muite
9. George Njoroge
15. Bernard Wambua
16. Langat

Hawa nawashuku sana!!!

Any way nice try. Haya mtusaidie na matokeo ya 2019 we see whether you have improved :D:D:D
 

Gwizzy

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
538
1,000
Wakenya kwenye mbio mko vizuri tu ila muache kutuibia vitu vyetu.

Juzi napiga kwenye mtandao mmoja wa picha za watu wazima nakuta ile video ya Amber Rutty mmeshaitengeneza na kuonekana ni yenu wakati Amber Rutty ni Mtanzania.

Nilishangaa kweli.
Hehe ati picha za watu wazima :cool::cool::cool:!! Hata nyinyi naona mmeiba Njoroge, Muite, Wambua na Langat hapo juu!!!
 

Gwizzy

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
538
1,000
Matokeo ya akina dada:

42KM

Female 42km.JPG


21KM

Female 21 Km.JPG


Huyo Matanga Abdi amejaribu sanaa. If you continue nurturing her talent, you might just win a Bronze medal in the olympics :p

Alafu number 7 ... Emily Chepkemoi from Tanzania?? How now??
 

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,139
2,000
Lakini wamejaribu sana .... hujaona akina Njoroge an Chepkemoi wamerepresent!!!
42 Km kwa wanaume 1-20 ni wakenya isipokua 15! Kweli wamejaribu, ukizingatia kwamba mbio zenyewe zilikuwa kule maeneo ya Kilimanjaro, Kenya. Hahaaa.
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,726
2,000
Nilikua nimesajiri kwa hii ya mwaka huu japo nikabanwa, T-shirt yangu ndio hivyo sitaipata, ila washkaji wangu kutokea Kenya waliwakilisha kama kawa, subiri nitaleta humu matokeo.
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,308
2,000
Watanzania tunaenda Kili kutembea na kutalii.

Hatujawa serious kwenye mambo kama haya.

Mi na washikaji zangu tulienda kama kutalii, hatujawahi fanya mazoezi lakini tukabeba medali.

95% ya watanzania walioshiriki sidhani kama walishawahi fanya mazoezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,263
2,000
Yaani unaleta matokeo ys 2018.

Hio ya jana (2020 edition) nimeifuatilia matokeo yalikua hivi:

42 km: number 1 to number 5 ni Wakenya

21 km: number 1 to 5 ni Watz.

Kilimanjaro Marathon was held on 3rd March 2019 (jana), nimetafuta results kwenye mtandao nikakosa. I however stumbled upon the results for the 2018 edition. See below:

42 KM

View attachment 1037999

21 KM
View attachment 1038000


Hapa Kidogo WaTZ walijikaza. Lakini Hawa ni WaTZ kweli? Hayo majina nikama ya Kikenya hivi:

7. Paul Muite
9. George Njoroge
15. Bernard Wambua
16. Langat

Hawa nawashuku sana!!!

Any way nice try. Haya mtusaidie na matokeo ya 2019 we see whether you have improved :D:D:D

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom