Kilimanjaro Kilimanjaro I love You.

kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
15,018
Points
2,000
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
15,018 2,000
Enzi zetu miaka ya 60,theluji haikua ya kuvizia,ni mwaka mzima
Watu waache kukata miti
Mkuu hilo eneo, inawezekana hulifahamu vizuri..
Liko hivyo kwa Mwaka mzima
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
15,018
Points
2,000
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
15,018 2,000
Wadau hakuna hata mmoja humu aliyeweza kujua hapo ni sehemu gani mlimani?
 
wax

wax

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Messages
3,742
Points
2,000
wax

wax

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2015
3,742 2,000
Wadau hakuna hata mmoja humu aliyeweza kujua hapo ni sehemu gani mlimani?
Mkuu nmekumic Sana
Mke wangu Atoto anakusalimia sasa hiv tuna Mtoto wetu anaitwa Gyan Karibu hom meku Tupo arusha sakina mzee baba
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
15,018
Points
2,000
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
15,018 2,000
Mkuu nmekumic Sana
Mke wangu Atoto anakusalimia sasa hiv tuna Mtoto wetu anaitwa Gyan Karibu hom meku Tupo arusha sakina mzee baba
Nimekuta nacheka kwa furaha sana.
Hongereni sana. Big up
 
wax

wax

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Messages
3,742
Points
2,000
wax

wax

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2015
3,742 2,000
Nimekuta nacheka kwa furaha sana.
Hongereni sana. Big up
Nashukuru Sana mkuu ulitukutanisha Mimi na Mke wangu hapa jf kipindi kile aise meku
Unakumbuka mzee baba????
Hiv Yule dem wako alikua anaitwa nan tena
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
13,055
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
13,055 2,000
yaani kumbe huko juu kuna sehemu unaweza jenga supermaeket kabisa
 
Ngorunde

Ngorunde

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2006
Messages
1,583
Points
2,000
Ngorunde

Ngorunde

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2006
1,583 2,000
Uharibifu wa mazingira unatishia theluji ya mlima kilimanjaro
Kweli kabisa.
Japo theluji inayeyuka kutokana na uharibifu wa mazingira duniani kote jambo linalosabisha kupanda kwa joto duniani 'global warming'
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
33,159
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
33,159 2,000
Safi sana... panapendeza...


Cc: mahondaw
 
tinkanyarwele

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Messages
1,448
Points
2,000
tinkanyarwele

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2016
1,448 2,000
Mmmmh, ipo siku picha zitatolewa huko Singapore tuambiwe tutaje ni maeneo gani huku TZ , mtoa uzi tusaidie ni eneo lipi maana nadhani jibu halijapatikana japo mlima tumesha ukwea zaidi ya mara moja.
 

Forum statistics

Threads 1,336,594
Members 512,670
Posts 32,544,694
Top