NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
pool
gym
kwa picha zaidi gonga link hii http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948&page=61
Acheni kukurupuka uliza Wazawa ndani ambao ni wafanyakazi wanafaidi nini?
ulitaka iwe gesti??Acheni kukurupuka uliza Wazawa ndani ambao ni wafanyakazi wanafaidi nini?
kaka sekta ya utalii si kazi rahisi! Wabongo wanapenda sana kulalamika, lakini bado hawapo tayari kufanya kazi! Kufanya kazi ni kazi sana! Kunahitaji ufanye kazi kwanza ya kuweza kufanya kazi, hasa hizi kazi za hospitality!
Acheni kukurupuka uliza Wazawa ndani ambao ni wafanyakazi wanafaidi nini?
kwa nini mkuu?
Hapo mahali Reginald Mengi anapaogopa kama Ukoma,
Mengi si walimchakachua kwenye mchakato wa kuinunua,ana machungu sana.Lakini angemudu?
Hakuchakachuliwa alikuwa hana vigezo.