Kilimanjaro Express

Wewe nae ni walewale tu! Utakataje tiketi hujaona basi unalosafiri nalo!? Kizazi kama chenu sijui kitaisha lini!.

Mkuu hii ni safari ya Moshi - Arusha na sio Dar - Arusha.
 
Nilishaacha kabisa kupanda basi hilo, yaani hovyo kweli.
 
Mzee SAWAYA no msikivu sana ni vyema ukaweka namba za gari hilo likidhibitika hitamuona tena Huyo dereva kwenye hiyo kampuni.
 
Fujo zilikuwa kubwa sana nikasahau kufanya hivyo. Ila nikiliona tena nitazileta hapa namba za gari kwa sababu nawakumbuka dereva na konda wake pia.
Ulikuwa abiri au mpita njia ndio ukayaona hayo?
 
wapo vizuri kilimanjaro, makosa madogo yapo ila sio ya kuyaanzishia uzi
 
Mzee SAWAYA no msikivu sana ni vyema ukaweka namba za gari hilo likidhibitika hitamuona tena Huyo dereva kwenye hiyo kampuni.

Ngoja nilifanyie uchunguzi halafu nitaleta majibu
 
wapo vizuri kilimanjaro, makosa madogo yapo ila sio ya kuyaanzishia uzi

Ni kweli kabisa ila kuongeza ufanisi wao ni lazima abiria tulalamike. Tatizo ni kuwa hawana box la maoni kwenye ofisi zao.
 
Ni kweli kabisa ila kuongeza ufanisi wao ni lazima abiria tulalamike. Tatizo ni kuwa hawana box la maoni kwenye ofisi zao.
Ooh Sorry, sikuwa makini kusoma ujumbe wako vizuri "nilikurupuka" si unajua tena. Kuvurugwa. Ila hawakupaswa kuokoteza abiria moshi-arusha. inashusha hadhi ya basi/kampuni yao.
 
Maelezo haya yanaweza kuwa na walakini ila pia kwenye tiketi kunakuwa na namba ya basi.

Tiketi zao za Moshi - Arusha hawaandiki namba ya gari, hili ni moja ya jambo lililosababisha kugombania basi moja abiria (Wote tunataka kuwahi, hata aliyechelewa kukata tiketi)
 
Tiketi zao za Moshi - Arusha hawaandiki namba ya gari, hili ni moja ya jambo lililosababisha kugombania basi moja abiria (Wote tunataka kuwahi, hata aliyechelewa kukata tiketi)
POLE SANA MKUU.
ILA HAWA MABWANA WANA UMAKINI WA HALI YA JUU, NIMESAFIRI NAO SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…