Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,907
- 7,125
Yakifa wewe unaumia nini?Kampuni kongwe ya mabasi ya kilimanjaro express inahali mbaya kutuzama basi yake tu. Imebakia kujivunia jina ambalo sasa nalo sioni kama litadumu.
Mara kadhaa mabasi yao yamekuwa yakipata hitirafu barabarani.
Unaweza ukawa umekata VIP mkajikuta mmeletewa kolokwinyo la kuwafikisha tu.
Leo tena, namsindikiza abiria kindakindaki wa hiyo kampuni yamemkuta ya kenge.
Binafsi sitalitumia basi hilo wala kumkatia mtu tiketi hadi watakapo amua kufanya uwekezaji.View attachment 2680672
View attachment 2680673
Yakifa wewe unaumia nini?
Ajira zitakazopotea Bandarini mbona umekaa kimya?Ajira za watanzania mkuu, tutampoteza mlipa kodi pia. Jamaa sio wajanja wajanza kwenye kulipa kodi za serikali.
Dah!Anawakumbusha akina Sawaya warekebishe mambo mkuu.Au hautaki tupate vyuma safi vya kwenda kuwahi mbege?Yakifa wewe unaumia nini?
Ile Ni Kampuni binafsi mmiliki anaamua anavyoyaka. Pambania bandari Mali ya ummaDah!Anawakumbusha akina Sawaya warekebishe mambo mkuu.Au hautaki tupate vyuma safi vya kwenda kuwahi mbege?
Tunapambania kotekote.Ile Ni Kampuni binafsi mmiliki anaamua anavyoyaka. Pambania bandari Mali ya umma
Fungua kampuni yako Mkuu uajiri wataokosa kazi BandariniTunapambania kotekote.
Labda kampuni ya upigaji wa sound!Tuombe dua njema, Inshallah!🙏Fungua kampuni yako Mkuu uajiri wataokosa kazi Bandarini
Wrong timing! Yani wewe unaleta huu uzi wakati kampuni imeingiza vyuma vipya vya kutosha? Tukisema uzi wako una vita ya kiushindani tutakuwa tunakosea? Ajali ni ajali wala usihusishe na ubora wa huduma.
Na kwa taarifa yako , katika TOP Five ya mabasi yanayotoa huduma bora hapa Tanzania kwa ujumla huwezi kumuacha Kilimanjaro Express, kwa kanda ya kaskazini humkosi kwenye TOP Two. Jipangeni
Kampuni kongwe ya mabasi ya kilimanjaro express inahali mbaya kutuzama basi yake tu. Imebakia kujivunia jina ambalo sasa nalo sioni kama litadumu.
Mara kadhaa mabasi yao yamekuwa yakipata hitirafu barabarani.
Unaweza ukawa umekata VIP mkajikuta mmeletewa kolokwinyo la kuwafikisha tu.
Leo tena, namsindikiza abiria kindakindaki wa hiyo kampuni yamemkuta ya kenge.
Binafsi sitalitumia basi hilo wala kumkatia mtu tiketi hadi watakapo amua kufanya uwekezaji.View attachment 2680672
View attachment 2680673