Kilima Nye@%e

Kinanikumbusha mbali sana ukishuka nacho ile unapandisha ukiwa mwendo lazima matumbo yapande na pumzi zinabadilika, na ukitaka kukifaidi zaidi uwe abiria usiwe dereva ndiyo utakisikia mzuka wake
 
mkuu si utakuwa unaenda na kurudi kama mara 10 hivi mpaka upige bao kabisa? hahahaa!... kidding!

hahaha,acha tu mkuu.ila pale ni pazuri sana kwa kuamsha stimu.
 
hiyo barabara ya igombe umezidisha chumvi
 
Khaaa kama naelewa af kama sielewi tena....
 
hiyo barabara ya igombe umezidisha chumvi

ha! unadhani nadanganya??

unaijua Mwatex wewe? au huwa unaishia uwanja wa ndege tu na kurudi town?

Hii road (ya vumbi ofcoz) ina vilima mshenzi vingi sana ambavyo ni kama vituta tuta..

nakwambia genye zake ni shiiida!
 
hahaha,acha tu mkuu.ila pale ni pazuri sana kwa kuamsha stimu.

mkuu kuna road moja hivi inatisha inapokuja suala la genye... soona ntaiweka hapa watu waitolee maoni... ni pure lami, hakuna bonde hata moja...

nadhani ingelikuwa bongo ingalikuwa na foleni kubwa sana!
 
Hisia ambazo mtu anasikia akishuka ule mlima inachangiwa na spidi ya chombo cha uasfiri, kwa jinsi spidi inavyokuwa kubwa ndipo na feelings zinaongezeka. Maelezo yake ni kuwa hayo ni mambo ya gravity na wala musihusishe na yenu mnayopenda kuhusisha!!
 
kwani tumebisha mamdogo,hatujabisha.lakini genye zipo pale pale.lol
chezeya kilma nye*# weyeee
 
unajuaje labda cause ya nyege ni gravity.....thinking out lout....in serious note bana kile kilima wengine kina historia mbaya nakumbuka nilivyokua secondary ..jamaa zangu walipataga ajali ikawaua kama wawili pale walikua wanatoka concert la akon...dah watu walikutwa wamenasa kwenye hivyo vimiti...may their sour rest in peace
 
aiseee babayangu ucnune gari nunua trekta 2endeleze kilimo babayangu
 
Nkitaka kwenda koko na dem napitia kwenye kile kilima n y e g e zikinpanda tunasimama koko napiga kamoja basiii
 
kwani tumebisha mamdogo,hatujabisha.lakini genye zipo pale pale.lol
chezeya kilma nye*# weyeee
Mama Mdogo anabisha kumbe? ni gravity ndiyo, lakini si inasababisha genye bhana???

mkuu hili ni janga kwa maeneo mengi yenye vilima vya wastani kama hicho...!

hivi wanawake nao huwa wanajiskia genye ama?:A S-eek:
 
Last edited by a moderator:
mkuu kuna road moja hivi inatisha inapokuja suala la genye... soona ntaiweka hapa watu waitolee maoni... ni pure lami, hakuna bonde hata moja...

nadhani ingelikuwa bongo ingalikuwa na foleni kubwa sana!

iko wapi hiyo mkuu niiundie safari,mana juzi kati nimetoka bukoba.vilima vyote vya moro to dodoma to singida to kahama to bukoba lakini wapi.teh teh
 
Nkitaka kwenda koko na dem napitia kwenye kile kilima n y e g e zikinpanda tunasimama koko napiga kamoja basiii

hahahaha,kumbe nyinyi ndio mnaopaki magari na videmu vyenu kule kwenye mitimiti pale coco?!.we noma mkuu.
 
iko wapi hiyo mkuu niiundie safari,mana juzi kati nimetoka bukoba.vilima vyote vya moro to dodoma to singida to kahama to bukoba lakini wapi.teh teh

hahahahaaa!!

ione hapa kwa mara ya kwanza!

Hapa mkuu lazima uchafue bm 150! lol
 
aiseee babayangu ucnune gari nunua trekta 2endeleze kilimo babayangu

kwa lafudhi ya kule kwetu uchagani:aisee baba yangu mkuu rombo trekta nitanunua,ila kwa haka kwa mkwechwe niliko nako acha tu nipite nako pale kilima nanili.hata baba manka na ile vitz yake huwa anapita pale mara nyingi.
 
Last edited by a moderator:
dadadeki!,hapo boxer lazima ichafuke.umemsoma jaywacnza lakini pale juu?.
jaywacnza nimemuona mpaka nimeogopa kum-quote aisee!

genye zake inaonekana ni rahisi sana kupanda halafu ngumu kushuka! lol..

so kuwa na dem karibu lazima iwe lazima!

coco b kuna maovu mengi sana aisee!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…