Kilichotokea wakati chadema wanatoka nje ya ukumbi wa bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilichotokea wakati chadema wanatoka nje ya ukumbi wa bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Far star, Nov 19, 2010.

 1. F

  Far star Senior Member

  #1
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nashangaa,hivi niwakati gani mtu anapigiwa makofi bungeni au kugonga meza,na kitendo cha kupiga makofi bungeni kinaashiria nini, mimi ninavyofahamu nikwamba kitendo cha kupiga makofi bungeni kinamaanisha kuunga mkono au kukubaliana na jambo linanlo jadiliwa,au kinamaanisha kumkaribisha mgeni anapoingia bungeni nk, yote tisa kwa lugha ya bungeni kitendo hiki kina maanisha kuunga mkono hoja.Sasa jamani jana wakati CHADEMA wanatoka nje ya ukumbi wa bunge,waliobakia walikuwa wana piga makofi/wanagonga meza kama vile hoja binafsi ya mikataba mibovu ya madini imepitishwa,yaani walikuwa wanaunga mkono hoja au tuseme-kitendo cha CHADEMA kutoka nje kwa kuwapigia makofi CHADEMA ,wakati huo ccm kama kawaida yao wakishirikiana na vyama vingine ambavyo ni subsidiary ya ccm walikuwa wakiimba ccm ccm ..........,hukuwakiwapigia makofi CHADEMA na kugonga meza wakimaanisha wanawaunga mkono.sasa inaonekama kwamba hapo kuna mtu anazungukwa bila kujijua
  ,ni sawa na vile ambavyo wananchi hapa jimboni kwetu walivyo kuwaki vaa bendera za ccm huku wakijua kwamba kunamtu wnamzungua na hawakumpigia kura huyu mgombea wa ccm kwa jimbo hili na badala yake wakampigia wa CHADEMA na baadae ccm walipozinduka wakabaki wanashangaa.Jana wabunge wa ccm walionesha kuiunga mkono CHADEMA huku wakiimba ccm ccm..........ilikumzuga mtu flani pale bungeni.
   
 2. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kweli kitu kimoja kila mtu anakiona kwa mtazamo wake. Nimeipenda hii, kweli waliunga mkono Chadema kutoka inje.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna waliokuwa wanazomea ivi hakuna azabu kwa watu kama hao?manake bunge liligeuka zogo
   
 4. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Unaakili sana, yah! wapo pamoja na CHADEMA
   
 5. e

  emalau JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  I suppose they were supporting the walk out
   
 6. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wanajipigia tu hawajui wanachofanya wapo wapo tu
   
 7. nzitunga

  nzitunga Senior Member

  #7
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mie nilifanikiwa kumuona spika aliyestaili, wa viwango na kasi, akiwa kimyaaa!! Hakushangilia wala kusikitika. Hakuzomea wala hakupiga meza. Nadhani alikuwa anatafakari kanuni ya aidha ku-support ama kupinga (maana hatujajua bado msimamo wake).
  Kwa swala la wana CCM wengine kuzomea mie sishangai kwa sababu ni rahisi kumtambua mjinga kuliko mwerevu. Nimeshindwa ku-classify Sitta kwa sababu alikaa kimya, lakini nimeweza kiurahisi kabisa kufahamu kuwa bado wengi wa wabunge wa CCM wanaangalia Chama na wala si taifa. Na hii inanishawishi kuwa mgombea akiwa tu ni wa CCM basi hafai, sababu huko bungeni hatonitetea mimi bali atatetea chama chake.
  Nawakilisha
   
 8. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #8
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Hivi tungemuuliza Maji marefu kwanini anapiga makofi angejibu nini?
   
 9. W

  WJN Member

  #9
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me nadhan bungeni hakuna option mbadala zaidi ya hiyo ya kugonga mabenchi katika kuashiria jambo lolote zuri au baya, all in all wabunge waliobaki walidhihirisha kuunga mkono kitendo cha chadema! Soliderity.....,
   
 10. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Angesema kwa sababu wengine wamepiga makofi..... MAJUHA BWANA
   
 11. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Wengi walikuwa wakizomea lakini Kiwete alibaki ameduwaa na hilo tabasamu lake la kinafiki.
  Hakika nchi hii inaongozwa na MAJUHA WATUPU. Hapa namaanisha CCM na vikaragosi vyake,CUF,TLP,NCCR,UDP. Nchi hii imeoza hatuna viongozi.
   
 12. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180

  angesema majini yamemnong'oneza apige makofi
   
Loading...