Kilichotokea leo

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,078
NYONYO LAMPOTEZA MWANAUME"....
Katika basi mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto, akakataa kunyonya.
Mama akamwambia mwanae: Nyonya, kama hutaki nampa "anko" anyonye.
Anko ni kaka mmoja abiria aliyeketi na huyo mama.
Mtoto akanyonya kidogo kisha akaacha.
Mama akamtishia tena nampa anko.
Ndipo yule kaka kwa hamaki akasema: "mama uwe na msimamo. Unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako", hebu kuwa mkweli...! Unanipa ninyonye au nishuke?
 
Saa hizi huko mirembe mnapewa simu za kuandika thread Jf?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…