Kichwa maji kazini..........Hizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.
picha za juu ni matukio yanayoendelea huko mahakamani nitawaletea za kwenye uwanja wa NMC....
jamani watu ni wengi sana hapa nmc hakika arusha ni chadema..
Hongera mbona wamebeba majani maana yake tafadhali ?