mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,019
- 1,945
Mkuu ukishapata dawa ya kupandisha hamu zake, hakikisha pia unaweza kuzishuza kila mara...Habari wana jf poleni na pilika pilika za kila siku,
Naombeni MSAADA wa jambo hili tafadhali,
Kuna mdada ana umri wa miaka 30 alikuwa hajawai kufanya tendo na toka avunje ungo alikuwa hajapata elimu ya usafi hasa ukeni kwa hiyo alikuwa hajawai kujisafika ndani ya uke kama wafanyavyo wanawake hujisafisha kwa kuingiza kidole....
Sio kwa mara zote, sometimes genye zipo utelezi hakuna and vice versa.genye na utelezi vinaenda sambamba....
hakuna utelezi pasipo na genye na hakuna genye pasipo na utelezi..
nakusalimia honey..
Yaani ungejua maandalizi yangu hakika ungefurahi maana hakuna nisipopashika na unaweza fika kileleni kwa maandalizi kabla athumani hajaanza mechiUtapigwa bure tu mkuu, jitahidi kumwandaa vizuri tu mwenzako,atapata hamu tu,mguse kila engo utakuja kunishukuru humu humu
Yaani ungejua maandalizi yangu hakika ungefurahi maana hakuna nisipopashika na unaweza fika kileleni kwa maandalizi kabla athumani hajaanza mechi
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
ππLabda hana hisia na wewe, maana navyojua mtu ukiwa na hisia nae kitendo tu cha kuskia sauti yake hamu kama zote acha kuonana nae
Acha kukimbilia kufanya ngono kwanza.Habari wana jf poleni na pilika pilika za kila siku,
Naombeni MSAADA wa jambo hili tafadhali,...
Mpeleke hospitali nyingine ukalipe atibiwe.Habari wana jf poleni na pilika pilika za kila siku,
Naombeni MSAADA wa jambo hili tafadhali...
Kilichonileta hapa ni kuomba kama kuna dawa ambayo mwanamke akinywa anapata hamu za mapenzie ndani ya Dk 5-30 naomba mnitajie kwa ili tujue kama mgonjwa amepona ashiriki tendo.
Yaani wengine tumebarikiwa ni gusa unate! Kumbe kuna mpaka ugonjwa wa low voltage pata picha ni mke wako duh mmtu unakuwa unashinda Bar tu ha ha