Kilichonikuta leo lodge

Unaenda lodge kupiga storry? Uko form ngapi
 
Hela aliyokupa inaweza kuwa ndo hela aliyopewa na huyo jamaa yake na sidhani kama atakuwa na hisia tena za kugegedwa

Aligegedwa huku anawaza umemuona sijui kama utaweza kumtunzia siri
 
Kawaida sana. Kuna wengi wa aina hii. Sisi wanaume tunapata shida kubwa mno.

Mwanamke mama yako anakuambia live bila chenga nataka unikung'ute mpaka nijambe.

Mara tatu hiyo imenitokea nikawatoa out, sasa hivi nawahofu wasije kunipa sumu maana ni staffmates.
 
Usitunze siri za watu bali usahau mambo ya watu. Yanaweza kukuletea matatizo usipoyasahau.
 
''...Ni rahisi kumnyamazisha Mtanganyika kwa kutumia hela kuliko mabavu...'' Abu Iyad
 
Endelea kuwapiga mzee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hela aliyokupa inaweza kuwa ndo hela aliyopewa na huyo jamaa yake na sidhani kama atakuwa na hisia tena za kugegedwa

Aligegedwa huku anawaza umemuona sijui kama utaweza kumtunzia siri
Alimpa hela wakati ndo anaingia lodge kwA maana Iyo mama Ana hela zake sio za kusubiri agegedwe ndo apate hela
 
Mnaharibu biashara ya mtu. Unaenda lodge kuwazibia watu riziki zao. Pambafu kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…