MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Kila ninapomwangalia mwasiasa huyu nguli najiuliza maswali mengi sana, huyu mtu alipewa nafasi ya kulitumikia taifa kwa wadhifa wa juu kabisa kipindi cha miaka miwili lakini hali ya unafuu wa maisha ilibadilika kabisa, tuliona kasi ya maendeleo ikibadilika utafikiri kulikua na Tanzania mpya inazaliwa.
Lakini najiuliza sana tatizo la huyu bwana kutopewa dhamana ya kuliongoza taifa hili ni nini? Kila nikiwaza siwezi kupata jibu la moja kwa moja.Ni nani anayeweza kuzuia watu kumchagua kiongozi wamtakaye? Ni nani asiyetaka mema ya maendeleo kutoka kwa kiongozi anayeifahamu vema dira ya maendeleo? Kiongozi ambaye siasa imechota sehemu kubwa ya maisha yake yote.
1.Tatizo ni kuhamia Chadema? Mbona haikuwezekana akiwa CCM? Kwani tatizo hili halitatuliki?
2.Tatizo ni kweli Ufisadi? Mbona hatuuoni ufisadi wake? Mimi hata kuhojiwa na TAKUKURU au POLISI sijawahi kusikia tanagu nimfahmu. Kwani kama hili lilikua tatizo haliwezi kutatulika?
3.Tatizo ni katiba? Mbona mkuu anasema hana mpango na katiba? Je, ni kweli hili tatizo halitatuliki? Taifa likipata kiu ya ukitaka katiba mpya ni kweli kuna kizuizi?
4.Tatizo fitna?Mbona kama ni fitna yeye alisifika kwa kucheza na siasa za fitna? Je, akiamua hilo kwake ni tatizo?
5.Tatizo uimara wa afya yake? Mbona waliomtabiria ubaya sasa wanakiri uimara wake? Je, hili kwake ni tatizo?
6.Siasa za visasi? Mbona mpaka sasa alipo ni mwanasiasa,siasa za visasi kwake ziko upande gani? Kama hili ni tatizo halitatuliki?