Kilichomponza Dk. Mwaka chafichuka!

Kilichomponza Dk. Mwaka chafichuka!

Kwanini wawazuie kuvaa makoti meupe ambapo wahudumu wa afya hufanya hivyo hata wauza supu na wauza nyama pia hufanya hivyo?
 
Sijui ni kwa nini.......nimejitahidi sana kutafuta hicho chanzo cha kufungwa sijakiona.......kuna aliyekiona jamani anionyeshe.........?........

anzo.... Global Publisher
 
Kati ya kigwangala na mwaka,wamegongana kimasilahi,wote wanajuana,ni madakitari wa tiba asili,sema kigwangala amshukulu mama WAMA.
 
Back
Top Bottom