Kilichomponza Dk. Mwaka chafichuka!

Kilichomponza Dk. Mwaka chafichuka!

Sijui ni kwa nini.......nimejitahidi sana kutafuta hicho chanzo cha kufungwa sijakiona.......kuna aliyekiona jamani anionyeshe.........?........

Uwezi kuona chanzo na wewe ni CHADEMA.
 
yaani wadogo zetu wanasota pale chuo kikuu muhimbili miaka minne au zaidi kutafuta elimu ya udakitari wa binadamu,halafu boya mmoja from out of nowhere anajiita dakitari na anapiga mkwanjwa kushinda hata profesa wa UDSM.

ifike mahali lazima taaluma za watu ziheshimiwe.ifike mahali MTU afanikiwe kwa kiasi cha ueledi wake na sio ujanja ujanja kisa tu mtu huyo ni "bonitauni".
 
Yote haya tisa KUMI WIVU WA KIMAISHA TUJITUME KUFANYA KAZI KWA BIDII NA HAPO LINAKUJA SUALA LA KUDRA KATIKA IMANI ZOTE SIDHANI KAMA KUNA MTU HAPA JF AWEZA KUJA NA KUSEMA HAKUNA MUNGU TAFAKURI HUMPA AMPENDAYE NA HUNYIMA AMPENDAE NA TUTATENGENEZA KWA MIKONO YETU NA TUTAHARIBU KWA MIKONO YETU
 
Duh.jamaa ana biti.mwenyeww kapiga koti waiti, kidude cha kusikilizia mapigo ya moyo na ana bonge la mtabu wa gyna mkononi. duh...tutapona kweli kwa staili hii?
 
Ulimwengu hautaishiwa wajinga. Makanisani ni balaa zaidi.

Fafanua kauli yako,ni kivipi ulimwengu hautaishiwa wajinga? Na makanisa yameingiaje kwenye ishu ya Dr mwaka? Ukiwa kama mwandishi nayekuheshimu sana tafadhali fafanua kwa kina zaidi.
 
sema bongo hata kama ni kweli jamaa kakosea lakini watu wanawivu aisee.
 
Wamwache kwani wivu ndio ubaya wa watanzania wengi.

Nao wakasake pesa zao hata hospitali sio wote wanaponaga.

Roho za kunguni na njama alipomlipa Diamond pesa ndefu.
 
Sijui ni kwa nini.......nimejitahidi sana kutafuta hicho chanzo cha kufungwa sijakiona.......kuna aliyekiona jamani anionyeshe.........?........
Kwakweli hakuna kitu huu ni uandishi uchwara kwelikweli
 
Nimegundua chanzo ni umbea tu na wivu.Kama ishu ni kujitangaza vp dr Matunge?Ndodi?na redioni ni wengi kama ni sababu hizo why mwaka tu.

Waziri ana wivu
 
Manyerere. Kanisa limeingiaje hapa mkuu wangu? Au wewe uamini katika mungu? Mbona kwenye michango ya arusi husemi? Ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu ndugu.
 
Majungu ndo chanzo...bongo ukifanikiwa jiandae kwa maadui
 
Tatizo ni Stethoscope? white coat? Gari? Nyumba? au kwenda nje? Ni nini hii?


Kwa nini serikali isituambie kwamba tiba zake zina athari kadhaa kwa binadamu, au halipi kodi, au mazingira hatarishi au anatoza kinyume na bei elekezi ? Kuna nini hapa?

Nayeye kwa nini alikimbia alipomwana Waziri? Kwa nini wahudumu waijificha? Nini wanachokijua kuwa wanakosea? Bila shaka wanajua siri ya kila kitu ama la wasingejificha!.
 
HANA TOFAUTI NA MATAPELI WENGINE.
********************************
Wateja wakipungua tu!,
Hubuni wamama 4,5 wa mtaani na huwabebesha mapacha,hujiact kuwahoji kisanii,Nao bila haya wala aibu hujifanya kushukuru kwa msaada wa kupata watoto!,Tne guy is so trickly!
akishatoa tangazo la aina hiyo luningani wakina mama huanza kufurika kwa wingi kweli,na hapo huanza kula mingo zake!
 
Gazeti lenyewe ni la udaku, na vyanzo vyake vipo hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom