Kilichompata Sumaye, chaweza kumtokea Majaliwa?

Kilichompata Sumaye, chaweza kumtokea Majaliwa?

Kuwa nje ya ulingo wa siasa maana yake nini? Sumaye kama Salim kwa wadhifa aliokuwa nao kabla ya kustaafu, alikuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya chama chake. huwezi kulinganisha na uenyekiti wa kanda alionao sasa, cheo kilichoanzishwa Ufipa kupunguza msongamano wa viongozi makao makuu. Yeye alikuwa miongoni mwa wapishi wa mkakati wa saidia Lowassa kuingia Ikulu na ametoka kwa hasira kama wenziwe waliotoka baada ya Lowassa kukatwa.
 
Sio haba hata akipumzika ni sa tu, kuwa Waziri Mkuu wa Nchi sio Cheo kidogo.
 
Pengo lake litazibika kwa haraka na Paul Makonda kwa kuwa tutakuwa tumempa jimbo la Misungwi 2020! (Rejea; kama huridhiki na utendaji wa CCM hama chama)
Misungwi au Kwimba? Kama sikosei Kolomije iko Kwimba ... Misungwi muziki mnene Kitwanga vs Mnyeti
 
Mimi huwa nawashangaa sana wanaomponda Sumaye kuwa mpinzani. Hivi kuna chama duniani ni kama njia pekee ya kuona pepo? Mtu anachoamini na kutamani kukifikia ndicho kinachompa amani ya kweli.
 
Back
Top Bottom