Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Sumaye alifikia kupata madaraka makubwa katika 'umri mdogo'... Baada ya kustaaf uwaziri mkuu, CCM ilimtupa nje ya system kwa mda wa miaka kumi, na bahati mbaya hakuwa na michongo ya kimataifa kama waliyonayo 'watoto wa mjini' kina JK na BWM...
Basi kwa kuwa hakuwa na la kufanya tena hapa town, ikabidi akajifungie zake Kibaha, na alikaa katika jela hiyo kwa mda wa miaka kumi.
Hii ndio ilikua chanzo cha Sumaye kupandwa na hasira kuona kwa nini CCM imemtelekeza akaamua kulipizia machungu yake kwa kuwasupport upinzani.
Hofu yangu ni kuwa, baada ya miaka nane, Majaliwa bado atakuwa 'kijana mbichi' na huenda angependa kuwepo kwenye political stage.
Wasi wasi wangu ni kuwa baada ya kumaliza kipindi cha uwaziri mkuu, chama kitamuweka kando na political elite mpya itazaliwa.
Majaliwa huenda hatofurahia kukaa kando kama ilivyokuwa kwa Sumaye, naye ataweza kuamua kukiadhibu chama kama alivyofanya Sumaye...
Kwa hiyo kwa kuwa lolote laweza kutokea, ni vyema Kassim akajiandaa kisaikolojia mapeema ili asije kuwa frustrated na chama chake...