ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,235
Ha ha haNakumbuka kisa cha Mwinjilisti Enoch Mwanyonga, dah.... Akaenda msibani, akawaambia wafiwa, acheni kulia, marehemu hajafa, amelala tuuu.... Hebu fukieni kaburi, jamaaa wakamwambia usitutanie, mfufue Kwanza ndipo tufukie kaburi.
Jamaa akapiga dua za kufa mtu, aliyelala hakuamka. Kidogo achezee mikwaju
Woootee hakuna cha baadhi we mtu anakuja na upepo wa tafutia wasichana wanaume, mwingine anagawa magari wapi na wapi.Baathi ya wachungaji wa siku hizi wengi wao sio wakweli wanatumia njia mbalimbali il wawe na waumini wengi
Shida ni kwamba watu hawasomi biblia, sio kila maiti inafufuliwa ila mpaka upate kibali cha roho mtakatifu, na ukipewa kibali kutoka juu jua wazi kuwa kuna watu Mungu anawatafuta watubu dhambi zao na kumkiri kuwa Yesu ni Bwana zaidi ya mabwanaNakumbuka kisa cha Mwinjilisti Enoch Mwanyonga, dah.... Akaenda msibani, akawaambia wafiwa, acheni kulia, marehemu hajafa, amelala tuuu.... Hebu fukieni kaburi, jamaaa wakamwambia usitutanie, mfufue Kwanza ndipo tufukie kaburi.
Jamaa akapiga dua za kufa mtu, aliyelala hakuamka. Kidogo achezee mikwaju
Watu wanaumia wameondokewa na ndugu wao wanaleta usanii? Watakuchoma moto walai.Nakumbuka kisa cha Mwinjilisti Enoch Mwanyonga, dah.... Akaenda msibani, akawaambia wafiwa, acheni kulia, marehemu hajafa, amelala tuuu.... Hebu fukieni kaburi, jamaaa wakamwambia usitutanie, mfufue Kwanza ndipo tufukie kaburi.
Jamaa akapiga dua za kufa mtu, aliyelala hakuamka. Kidogo achezee mikwaju
Ndiyo siku za mwisho hizi,ilitabiriwa kitambo.