Hiyo sio shida, shida ya Mbatia ni hizi;
1. Kuwa na ndimi mbili.
2. Unafiki wa kuaminiana na CCM.
Yanayotokea sasa NCCR ni matokeo ya CCM kuwekeza kwa Mbatia na Selasini, wote hao wawili wanatafuta kula pesa za CCM, lakini haiwezekani wote wakapewa mchongo hivyo inabidi mmoja ammalize mwenzio ndio aweze kula. Selasini hakuhamia NCCR kuja kuchoma mahindi, alikuja kula kuku kwa mrija.