shikamkono01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2016
- 698
- 2,126
Dereva kaanguka abiria wote kwenye gari mkawa hamjui nini mfanye mkaliacha gari hadi likazimika lenyewe mkuu?siku ya jumamosi tarehe 11/09/2021 nikiwa mmoja wa abiria ambaye nilipandia gari moro kuelekea dodoma muda wa jioni gari ikiwa inatokea dar tulipofika dumila ghafla dereva alianguka akiwa kwenye mwendo na kupelekea gari kwenda lenyewe hadi lilipozimika na Mungu jaalia alikuwa ktk mwendo na kwa habari nilizozipata siku ya jumanne nilipopita tena pale msamvu niliambiwa kuwa yule dereva alikufa na ameshazikwa kwao tanga na alikuwa na matatizo ya sukari ya kushuka,angalizo ni wamiliki kuwapa mapumziko stahiki kwa madereva wao kwani wanabeba dhamana kubwa ya roho za watu na wakati wa tukio yaani hakukuwa na dereva wa ziada na ikabidi hadi tuamishiwe ktk gari nyingine
Usiwashangae wao walidhani ni mbwembwe tu za madereva, jambo ambalo silielewi ni kondakta na utingo walikuwa wapi wakati huwa wanakaa mbele na dereva!Dereva kaanguka abiria wote kwenye gari mkawa hamjui nini mfanye mkaliacha gari hadi likazimika lenyewe mkuu?
siku ya jumamosi tarehe 11/09/2021 nikiwa mmoja wa abiria ambaye nilipandia gari moro kuelekea dodoma muda wa jioni gari ikiwa inatokea dar tulipofika dumila ghafla dereva alianguka akiwa kwenye mwendo na kupelekea gari kwenda lenyewe hadi lilipozimika na Mungu jaalia alikuwa ktk mwendo na kwa habari nilizozipata siku ya jumanne nilipopita tena pale msamvu niliambiwa kuwa yule dereva alikufa na ameshazikwa kwao tanga na alikuwa na matatizo ya sukari ya kushuka,angalizo ni wamiliki kuwapa mapumziko stahiki kwa madereva wao kwani wanabeba dhamana kubwa ya roho za watu na wakati wa tukio yaani hakukuwa na dereva wa ziada na ikabidi hadi tuamishiwe ktk gari nyingine
Ujumbe umefika tayariiHakuna nukta wala mkato?
Ndoo faida ya elimu bureHakuna nukta wala mkato?
Wewe haumfahamu huyu! Huyu jamaa ni mmoja wa waanzilishi wa mchiriku Mtoni kwa Aziz Ally Dar.Hakuna nukta wala mkato?
Wewe haumfahamu huyu! Huyu jamaa ni mmoja wa waanzilishi wa mchiriku Mtoni kwa Aziz Ally Dar.
Siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2021 nikiwa mmoja wa abiria ambaye nilipandia gari Moro kuelekea Dodoma muda wa jioni gari ikiwa inatokea Dar tulipofika Dumila ghafla dereva alianguka akiwa kwenye mwendo na kupelekea gari kwenda lenyewe hadi lilipozimika na Mungu jaalia halikuwa ktk mwendo na kwa habari nilizozipata siku ya jumanne nilipopita tena pale Msamvu niliambiwa kuwa yule dereva alikufa na ameshazikwa kwao Tanga na alikuwa na matatizo ya sukari ya kushuka
Angalizo ni wamiliki kuwapa mapumziko stahiki kwa madereva wao kwani wanabeba dhamana kubwa ya roho za watu na wakati wa tukio yaani hakukuwa na dereva wa ziada na ikabidi hadi tuamishiwe ktk gari nyingine
🤣
ni mitihani ya safarini ndugu ila sijajua hongera ktk jambo gani nashindwa kuipokeapoleni sana na hongereni sana.
ndugu ktk gari hakuna aliyekuwa amejiandaa kuwa dereva ataanguka yaani kilichotokea ni yowe tu la mama mmoja ktk abiria tuliokuwepo kusema dereva ameanguka na ikawa kama butwaa na huo mwendo ulikuwa km wa sekunde 50 hadi dakika 1.30 hv na si muda mrefu kihvyo nduguDereva kaanguka abiria wote kwenye gari mkawa hamjui nini mfanye mkaliacha gari hadi likazimika lenyewe mkuu?
sio hapa kudanganya na sina faida yoyote ktk jambo hilo,kama waweza pata wasaa fatilia kampuni husika inaitwa first choice (apollo) au km una jamaa pale msamvu akupe mrejesho na nimekuwekea na cku na tareheDuh! Iliwezekanaje!